BARABARA ZA LAMI NA MADARASA MAPYA KUJENGWA MWANGA – DKT. SAMIA
Mgombea urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema wananchi wa Wilaya ya Mwanga watanufaika na miradi mikubwa ya miundombinu na maji, hatua itakayochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi.