Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa kituo cha gesi cha GBP mkoani Tanga, mradi unaogharimu dola milioni 50 NA KUELEZA KUWA mradi huo ni muhimu kwa maendeleo ya Tanga na Taifa kwa ujumla, kwani utaunga mkono ajenda ya nishati safi ya kupikia na pia kuchochea ukuaji wa viwanda mkoani Tanga.
Thursday 30 October 2025
⁞
