Friday 31 October 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 5 month ago

BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA KUITWA BARABARA YA DKT. ADESINA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Juni 14,  2025, ametangaza kuwa barabara ya mzunguko (ring road) ya nje ya Mji wa Dodoma itaitwa Barabara ya Dkt. Akinwumi Adesina, kama sehemu ya kuenzi na kutambua mchango wa Dkt. Adesina, Rais wa Benki ya maendeleo ya Afrika anayemaliza muda wake.


Latest News
Hashtags:   

BARABARA

 | 

MZUNGUKO

 | 

DODOMA

 | 

KUITWA

 | 

BARABARA

 | 

ADESINA

 | 

Sources