Friday 31 October 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 3 month ago

MAONESHO YA 88 JUKWAA MUHIMU SEKTA YA KILIMO NA KUFUNGUA FURSA

Mkurugenzi wa Biashara na Ugavi wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Bw. Fimbo Butallah amesema maonesho ya NaneNane yanaendelea kuwa jukwaa muhimu la kuonesha teknolojia za kisasa za kilimo, kuimarisha ushirikiano wa sekta, na kufungua fursa mpya kwa wadau katika mnyororo wa thamani.


Latest News
Hashtags:   

MAONESHO

 | 

JUKWAA

 | 

MUHIMU

 | 

SEKTA

 | 

KILIMO

 | 

KUFUNGUA

 | 

FURSA

 | 

Sources