Serikali kupitia Wizara ya Afya imewekeza Shilingi Bilioni Tano kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kituo cha tiba mionzi pamoja na ununuzi wa vifaa tiba lililopo katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kaskazini (KCMC) ili kuboresha huduma hizo za afya na kuwafikia wananchi wengi wa ukanda huo.
Thursday 30 October 2025
⁞
