Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea na kampeni zake za Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida, akiahidi kuendeleza miradi mikubwa inayolenga kuinua ustawi wa wananchi.
Sunday 2 November 2025
⁞
