Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso kusimamia utekelezaji wa mradi wa maji wa Mkinga na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata maji safi na salama haraka iwezekanavyo.
Thursday 30 October 2025
⁞
