Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema lengo la kujenga barabara unganishi ya Tanga- Pangani-Bagamoyo pamoja na Daraja la Pangani aliyoiwekea jiwe la msingi ni kutaka kuifungua Tanga kiuchumi na kiutalii ili kuhakikisha wananchi wa Tanga, wananufaika na rasilimali na fursa mbalimbali zilizopo Mkoani humo.
Thursday 30 October 2025
⁞
