Tuesday 20 April 2021

⁞

Wafanya biashara kusuasua kuhamia kwenye masoko mapya. Je, masoko ya zamani yafungwe kuwalazimisha kuhama?
- itv
Asilimia 75 ya wanaougua figo kushindwa kugharamia matibabu. Je, elimu inatolewa kuwawezesha watu kujikinga zaidi ya kutibu?
- itv
Mahindi kuzuiwa mpakani bila kuwepo uthibitisho wa kuwa na chembechembe za Sumukuvu. Je, ni hujuma za kiuchumi ?.
- itv
Wananchi kutakiwa kutumia dawa na vifaa tiba vilivyosajiliwa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba.Je, wanaelimishwa jinsi ya kuzitambua ?.
- itv
Kituo cha mabasi Magufuli Mbezi Luis kuanza kutumika bila kuwekewa utaratibu. Je, Kunatendea haki uwekezaji mkubwa uliotumika kukijenga? .
- itv