Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Maafisa masuuli wanaosimamia miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoani Tanga, kufuatilia kwa karibu na kuhakikisha miradi yote ya maendeleo mkoani humo inakamilika kwa wakati.
Thursday 30 October 2025
⁞
