Waziri wa Afya Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, akiambatana na Waziri wa Afya (Zanzibar) Mhe. Nasoro Mazrui, wamekutana na uongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Ufadhili kwa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto (GFF) na kueleza mafanikio ya ushirikiano huo.
				Friday 31 October 2025			
						
		⁞
