Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, amesema dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kuwa foleni na msongamano wa magari Jijini Dodoma unapungua pamoja na kusisimua uchumi wa Mkoa huo kupitia huduma za usafiri na usafirishaji.
				Friday 31 October 2025			
						
		⁞
