Friday 31 October 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 5 month ago

HATUTATOA NAFASI KWA KIUMBE YOYOTE KUJA KUTUHARIBIA NCHI YETU

Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezielekeza Wizara zinazohusika pamoja na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kutoa ufafanuzi au kukanusha haraka matamko mbalimbali yenye nia ovu yanayotolewa na wanaharakati mbalimbali dhidi ya Tanzania.


Latest News
Hashtags:   

HATUTATOA

 | 

NAFASI

 | 

KIUMBE

 | 

YOYOTE

 | 

KUTUHARIBIA

 | 

Sources