KAMPENI YA KITAIFA YA AFYA YA AKILI YAENDELEA JIJINI DODOMA
Hospitali Bingwa ya Taifa ya Magonjwa ya Akili ya Mirembe imehimiza umuhimu wa kufanya mazoezi ya mwili na kula mlo kamili kama njia ya msingi ya kulinda na kuimarisha afya ya akili...........