Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema deni la dunia limekuwa likiongezeka ila deni la Taifa la Tanzania limebaki kuwa himilivu.
				Friday 31 October 2025			
						
		⁞
