Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, akiwa katika mwendelezo wa kikao cha 58 cha Baraza la Haki za Binadamu Geneva Nchini, Uswisi amekutana na kufanya mazungumzo yaliyohusu utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria Nchini Tanzania Mama Samia Legal Aid na ujumbe wa Jumuiya ya Madola ukiongozwa na Katibu Mkuu Msaidizi wa Jumuiya ya Madola Prof.Luis Franceschi jijini Geneva, Uswisi
Thursday 30 October 2025
⁞
