RAIS SAMIA AAGIZA UKARABATI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KOROGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama kutoa fedha kwa ajili ya kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Korogwe (Magunga).......