Thursday 30 October 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 8 month ago

DKT. BITEKO AWASILI BARBADOS KUNADI NISHATI SAFI KIMATAIFA

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Barbados kushiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu matumizi ya Nishati endelevu utakaofanyika katika jiji la Bridgetown kuanzia tarehe 12 hadi 14 Machi, 2025.


Latest News
Hashtags:   

BITEKO

 | 

AWASILI

 | 

BARBADOS

 | 

KUNADI

 | 

NISHATI

 | 

KIMATAIFA

 | 

Sources