Friday 31 October 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 6 month ago

DCEA YAZUIA TANI 14 ZA KEMIKALI BASHIRIFU KUINGIA NCHINI

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanya operesheni Katika mikoa ya Dar es Salaam, Shinyanga, Tabora, Tanga, Songwe, Mbeya na Arusha na kufanikiwa kuzuia tani 14 za kemikali bashirifu zilizokuwa ziingizwe nchini kinyume cha sheria..........


Latest News
Hashtags:   

YAZUIA

 | 

KEMIKALI

 | 

BASHIRIFU

 | 

KUINGIA

 | 

NCHINI

 | 

Sources