Saturday 1 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 9 month ago

NCHIMBI: CCM NA PP KUIMARISHA UHUSIANO WA TANZANIA NA ETHIOPIA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi, amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama Tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake.


Latest News
Hashtags:   

NCHIMBI

 | 

KUIMARISHA

 | 

UHUSIANO

 | 

TANZANIA

 | 

ETHIOPIA

 | 

Sources