Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange(Mb) amesema ujenzi wa soko kuu la mazao ya nafaka eneo la Kanondo Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa ni Mkombozi kwa wakulima kwani Soko hilo litaongeza thamani ya mazao na kukuza mzunguko wa fedha mkoani humo.
Saturday 1 November 2025
⁞
