Ripoti iliyotolewa na Mtandao wa Statista huku ikichapishwa na businessinsider, imeeleza kuwa Tanzania imetajwa kuwa ya 9 kati ya mataifa 10 barani Afrika, ambayo yana miundombinu bora zaidi ya barabara.
Saturday 1 November 2025
⁞
