Naibu Waziri Nishati, Mh. Judith Kapinga, amesema serikali inaendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia, utakaowafanya watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034..........
Saturday 1 November 2025
⁞
