Saturday 1 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

TUVUMILIANE NA KUHESHIMIANA KAMA WATANZANIA - DKT. BITEKO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mungu. Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 15, 2024 katika Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa lililofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaaam.


Latest News
Hashtags:   

TUVUMILIANE

 | 

KUHESHIMIANA

 | 

WATANZANIA

 | 

BITEKO

 | 

Sources