UTANDAWAZI USIHARIBU UTAMADUNI WA TAIFA - NDUMBARO
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Damas Ndumbaro, amewataka Watanzania kutumia utandawazi, kuongeza maarifa katika kuleta maendeleo badala ya kuacha utandawazi uharibu utamaduni wa Taifa.