Makandarasi wameaswa kuandaa zabuni shindani na nzuri kwa kuzingatia misingi ya utayarishaji wa zabuni ikiwa ni pamoja na uandaaji wa bei za zabuni, na kuaswa kutumia ujuzi walioongeza katika kuboresha zabuni na kuendelea kutafuta na kuongeza ujuzi na maarifa kupitia njia mbalimbali kama mafunzo rasmi, mitandao, mikutano.
Monday 3 November 2025
⁞
