Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega, ameilekeza Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO ) kuwapatia eneo Kiwanda cha Machinjio cha Union Meat, ili walitumie kupokelea na kunenepeshea mifugo ili kiwanda kiwe na uhakika wa kupata mifugo bora kwa ajili ya kuchinja na kuuza ndani na nje ya nchi.
Saturday 1 November 2025
⁞
