TANZANIA KUFUTA HISTORIA YA VIJIJI KUTOKUWA NA UMEME
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewahakikishia Watanzania kuwa, Serikali itaendelea kupeleka huduma ya umeme katika maeneo yote nchini ili watanzania waweze kuboresha shughuli za kiuchumi