Saturday 1 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

ALIPISHWA FAINI KWA KUDHIHAKI KIMO CHA WAZIRI MKUU ITALIA.

Mwanahabari wa Italia Giulia Cortese ameamuliwa kumlipa Waziri Mkuu Giorgia Meloni fidia ya Euro 5,000  kutokana na machapisho ya mitandao ya kijamii yanayodhihaki kimo cha waziri mkuu huyo.


Latest News
Hashtags:   

ALIPISHWA

 | 

FAINI

 | 

KUDHIHAKI

 | 

WAZIRI

 | 

ITALIA

 | 

Sources