Kuelekea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo, Uvuvi na Ufugaji (NaneNane 2024), yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma kuanzia Agosti 01 hadi 08, 2024, Mratibu Mkuu wa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Wizara ya Kilimo,Bw. Zacharia Gadiye ambaye amewakaribisha wadau mbalimbali kwenye maonesho hayo.
Saturday 1 November 2025
⁞
