Mafunzo kwa Askari wa kike ukanda wa Afrika (IAWP) yamefunguliwa leo katika kituo cha Rasilimali ya Polisi Abuja Nchini Nigeria ambapo mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo askari wa kike ukanda wa Afrika na wasimamizi wa sheria.
Saturday 1 November 2025
⁞
