Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga ameuagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi katika vijiji ambavyo tayari vimefikiwa na miradi ya usambazaji umeme ili kuleta tija................
Saturday 1 November 2025
itv - 1 years ago
NAIBU WAZIRI KAPINGA ATAKA KASI YA UUNGANISHAJI UMEME USHETU IONGEZEKE
⁞
