Monday 3 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

TANZANIA KUTOA KIPAUMBELE VYANZO MBADALA VYA NISHATI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameieleza Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa Nishati kuwa, Tanzania itaendelea kutoa kipaumbele kwenye vyanzo mbadala vya nishati ikiwemo gesi, upepo, jua na vyanzo vingine mbadala vya umeme, ili kuwa na uhakika wa upatikanaji wa umeme wa kutosha kwa wananchi.


Latest News
Hashtags:   

TANZANIA

 | 

KUTOA

 | 

KIPAUMBELE

 | 

VYANZO

 | 

MBADALA

 | 

NISHATI

 | 

Sources