Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya  barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali.
				Friday 31 October 2025			
						
		⁞
 Sources
 Sources 
 
