Watu 7 kati 14 waliokuwa wakisafirisha magunia ya mpunga kwa kutumia mtumbwi katika bonde dogo la Kitongoji cha Lunguya, Kijiji cha Mwamapuli kilichopo Halmashauri ya Mlele, mkoani Katavi, wamepoteza maisha baada ya mtumbwi huo kupinduka......
Monday 3 November 2025
⁞
