Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 19 days ago

Wafanyabiashara wawili matatani kwa wizi wa maji Mwanza.

Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira jijini Mwanza “MWAUWASA” imeendesha operesheni maalumu usiku wa manane iliyolenga kuwabaini watumiaji wa  maji ya mamlaka hiyo kinyemela na kufanikiwa kuwakamata watu wawili wanaoendesha biashara ya kuuza maji.


Latest News
Hashtags:   

Wafanyabiashara

 | 

wawili

 | 

matatani

 | 

Mwanza

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources