Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 18 days ago

Serikali yakiri kuwepo upungufu wa sukari maeneo mengi ya nchi.

Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Waziri wa Kilimo, Mhe.Japhet Hasunga alipokuwa akiwasilisha hotuba ya wizara yake bungeni na kusema tayari tani Elfu-Nne zimesha fika na zaidi ya tani Elfu-21 zipo njiani.


Latest News
Hashtags:   

Serikali

 | 

yakiri

 | 

kuwepo

 | 

upungufu

 | 

sukari

 | 

maeneo

 | 

mengi

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources