Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 18 days ago

Majambazi wabeba tairi za gari la Kamanda wa polisi Geita.

Jeshi la polisi mkoani Geita linawashikilia majambazi wawili huku likiendelea kuwasaka watu kadhaa kwa tuhuma za kuvamia usiku wa manane eneo lililokuwa limehifadhiwa gari la kamanda wa polisi mkoa huo na kuiba matairi yake yote manne kisha kutokomea pasipojulikana.


Latest News
Hashtags:   

Majambazi

 | 

wabeba

 | 

tairi

 | 

Kamanda

 | 

polisi

 | 

Geita

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources