Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 21 days ago

Mwili wa kijana asiyefahamika wakutwa ukining inia juu ya mti, Mbeya

Mwili wa kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 23 na 25 umekutwa ukining inia juu ya mti  katika mtaa wa RRM Isyesye, kata ya Isyesye jijini Mbeya akidaiwa kuwa amejinyonga kwa kutumia kamba na kusababisha taharuki kwa wananchi wanaishi kwenye eneo hilo.


Latest News
Hashtags:   

Mwili

 | 

kijana

 | 

asiyefahamika

 | 

wakutwa

 | 

ukining

 | 

Mbeya

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources