Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 21 days ago

Wachimbaji watano wafukiwa mgodi wa dhahabu Geita.

Wachimbaji watano  wa madini ya dhahabu mkoani Geita wamefukiwa na kifusi huku  mmoja akifariki dunia na watatu wakiokolewa na kukimbizwa hospitali ya mkoa na  mmoja hajulikani alipo baada ya mgodi walipokuwa wakichimba dhahabu kuporomoka na kuwaangukia.


Latest News
Hashtags:   

Wachimbaji

 | 

watano

 | 

wafukiwa

 | 

mgodi

 | 

dhahabu

 | 

Geita

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources