Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 22 days ago

Wakazi wa Bongera,Chato watembea zaidi ya kilometa 20 kufuata matibabu

Wakazi wa kata ya Bongera wilayani Chato mkoani Geita wameondokana na adha ya kusafiri umbali wa zaidi ya kilometa ishirini kutafuta huduma za matibabu baada ya mgodi wa uchimbaji dhahabu wa GGM kutoa saruji ,mabati  na mbao  ili kumalizia ujenzi wa vituo vya afya vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi.


Latest News
Hashtags:   

Wakazi

 | 

Bongera

 | 

Chato

 | 

watembea

 | 

zaidi

 | 

kilometa

 | 

kufuata

 | 

matibabu

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources