Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 23 days ago

Ndugulile aagiza NIMR kufanya utafiti kuhusu Corona.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipokutana na watafiti wa taasisi hiyo wakati  wakijadili maambukizi ya ugonjwa wa Corona na aina ya matibabu ambayo wagonjwa wanatakiwa kupatiwa hasa baada ya kubainika kuwa dalili za ugonjwa huo.


Latest News
Hashtags:   

Ndugulile

 | 

aagiza

 | 

kufanya

 | 

utafiti

 | 

kuhusu

 | 

Corona

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources