Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 24 days ago

Waziri Hasunga avifuta vyama vya ushirika 3,348 kwa kubaini ni hewa.

Vyama hivyo vimebainika kutotekeleza majukumu yake ya msingi na kusema utaratibu wa serikali kuvifuta vyama hewa utakuwa endelevu kwa vile vitakavyoshindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.


Latest News
Hashtags:   

Waziri

 | 

Hasunga

 | 

avifuta

 | 

vyama

 | 

ushirika

 | 

kubaini

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources