Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 25 days ago

Ndege iliyokuwa imebeba misaada ya Corona yaanguka, yaua 6 Somalia.

Shirika la Habari la Somalia limesema ndege hiyo ya shirika la African Express Airways yenye makao yake mjini Nairobi, Kenya, ilianguka katika mji huo, ikiwa njiani kuelekea Baidoa ikitokea mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.


Latest News
Hashtags:   

Ndege

 | 

iliyokuwa

 | 

imebeba

 | 

misaada

 | 

Corona

 | 

yaanguka

 | 

Somalia

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources