Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 26 days ago

Wadau wachangia shilingi milioni 150 kukabiliana na Corona.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama amepokea msaada wa hundi tatu zenye thamani ya sh. milioni 150 zilizotolewa na kampuni tatu.


Latest News
Hashtags:   

Wadau

 | 

wachangia

 | 

shilingi

 | 

milioni

 | 

kukabiliana

 | 

Corona

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources