Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 27 days ago

Walimu kuendelea kulipwa mishahara.

Mhe. Rais Magufuli amewahakikishia Walimu ambao ni asilimia 49 ya wafanyakazi wote hapa nchini pamoja na wafanyakazi wengine kuwa licha ya changamoto za kiuchumi zinazosababishwa na ugonjwa wa Corona, Serikali imejipanga kuhakikisha wanalipwa mishahara yao.


Latest News
Hashtags:   

Walimu

 | 

kuendelea

 | 

kulipwa

 | 

mishahara

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources