Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Jenerali Robert Kibochi ateuliwa kuwa mkuu wa majeshi Kenya.

Katika uteuzi uliofanywa na Rais Uhuru Kenyatta Meja Jenerali Levi Mghalu atakuwa Naibu Mkuu wa Majeshi huku Meja Jenerali Jimson Mutai akiteuliwa kuwa kamanda wa wanajeshi wa majini.


Latest News
Hashtags:   

Jenerali

 | 

Robert

 | 

Kibochi

 | 

ateuliwa

 | 

majeshi

 | 

Kenya

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources