Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Kilo ya vitunguu Mtwara yafikia 6000.

Bei ya vitunguu kwenye masoko ya mjini Mtwara imepanda toka shilingi 3,500 hadi 6,000 kwa kilo moja, bei ambayo haijawahi kutokea kutokana na uhaba mkubwa wa bidhaa hiyo kwa zaidi ya wiki mbili sasa.


Latest News
Hashtags:   

vitunguu

 | 

Mtwara

 | 

yafikia

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources