Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 30 days ago

Wawili mbaroni kwa madai ya kusambaza taarifa za uongo kuhusu Corona.

Watu wawili akiwemo wakili maarufu wa kujitegemea mkoani  Arusha  Albert Msando wanashikiliwa na polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za kusambaza taarifa za ugonjwa wa Corona zinazodaiwa kuwa sio za kweli.


Latest News
Hashtags:   

Wawili

 | 

mbaroni

 | 

madai

 | 

kusambaza

 | 

taarifa

 | 

uongo

 | 

kuhusu

 | 

Corona

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources