Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Wagonjwa wa Corona Tanzania wafikia 480 ,vifo vyaongezeka.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa taarifa ya mwenendo wa Ugonjwa wa Corona nchini ambapo amesema kuwa kuna maambukizi mapya ya ugonjwa huo kwa watanzania 196.


Latest News
Hashtags:   

Wagonjwa

 | 

Corona

 | 

Tanzania

 | 

wafikia

 | 

vyaongezeka

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources